Jumamosi, 29 Oktoba 2016

BAYERN MUNICH YAENDELEA KUPAA BUNDESLIGA, LEWANDOWSKI KAMA KAWA NYAVUNI

Bayern Munich imeendelea kupaa kwenye Bundesliga baada ya straika wake,Robert Lewandowski kufunga mabao mawili yenyewe ikishinda kwa 3-1. Bayern imeitwanga Augsburg na kuendelea kujichimbia kileleni. Kabla ya mechi ya leo, Bayern waliwatwanga wapinzani wao hao kwa mabao kama hayo katika mechi ya Kombe la Ujerumani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni