Ijumaa, 28 Oktoba 2016

Russell Westbrook katika mechi ya leo dhidi ya Phoenix Suns amefunga Pointi 51,Rebounds 13, Assists 10. Amekuwa ni mchezaji wa kwanza kufunga pointi 50 (au zaidi) katika Triple-Double tangu Kareem Abdul Jabaar 1975

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni