Jumamosi, 29 Oktoba 2016

La Purga 'Messi' ameshacheza mechi 9 vs Granada, katika mechi hizo kashaweka kambani magoli 11 na kutoa assists 3. La Purga ana kumbukumbu nzuri sana na fixture, msimu wa 2011/12 aliwafunga hat trick katika mchezo uliopigwa Camp Nou na kufanikiwa kumfikia na kumpita aliyekuwa mfungaji bora wa wakati wote wa Barcelona - Cesar ambaye alikuwa na jumla ya magoli 232. @azamtvtz #FCBVsGranada

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni