pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumamosi, 24 Septemba 2016
TASWIRA; ZLATAN FEKI ALIVYOIBUKA UWANJANI NA KUMVAA ZLATAN MWENYEWE
Mtu mmoja ambaye anafanana na Zlatan Ibrahimovic ameibuka uwanjani kwa kuwalaghai walinzi na kwenda hadi alipokuwa Zlatan mwenyewe wakati akiitumikia timu yake dhidi ya Leicester City.
Mtu huyo alifanikiwa kumvaa Zlatan na kusababisha watu kuangua kicheko wakiwemo wachezaji wa Man United waliokuwa benchi.
Mwisho, walinzi walimuwahi mtu huyo na kumuondoa katika eneo la uwanja.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni