Alhamisi, 22 Septemba 2016

BALOTELLI WA KIMATAIFA, AANZA KUFUNGUKA MECHI MBILI AFIKISHA BAO NNE, NI BAADA YA KUPIGA MBILI TENA LEO NICE IKIITWANGA MONACO 4-0

Mario Balotelli amepiga mabao mengine mawili na kufikisha mabao manne katika mechi mbili za Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama League 1. Nice imeichapa Monaco mabao 4-0, Balotelli akipiga hizo mbili. Katika mechi yake ya kwanza ya ligi, Balotelli alipiga bao mbili pia.  VIKOSI: NICE: Yoann Cardinale, Paul Baysse, Dante, Malang Sarr, Ricardo, Vincent Koziello, Wylan Cyprien, Jean Seri, Dalbert Henrique Chagas Estevao, Younes Belhanda, Mario Balotelli 78' Subs: Mouez Hassen, Arnaud Souquet, Arnaud Lusamba, Valentin Eysseric, Alassane Plea, Anastasios Donis, Mathieu Bodmer MONACO: Danijel Subasic, Andrea Raggi, Kamil Glik, Jemerson de Jesus Nascimento, Djibril Sidibe, Tiemoue Bakayoko, Fabinho, Thomas Lemar, Joao Moutinho, Bernardo Silva, Falcao Subs: Guido Carrillo, Morgan De Sanctis, Valere Germain, Gabriel Boschilia, Kylian Mbappe-Lottin, Kevin N'Doram, Almamy Toure

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni