CHELSEA KIMENUKA
KUWA kocha wa Chelsea ujipange, kazi sana asikwambie mtu. Shida ni bilionea mmiliki wa timu hiyo, Roman Abramovich.
Walipochapwa 2-1 na Liverpool, usiku huo wa mechi bilionea huyo aliliweka kitimoto benchi la ufundi kwa nini wamechapwa mechi hiyo. Wakati Kocha Antonio Conte akijipanga kuhusu jambo hilo, kikosi chake kimekumbana na kichapo kingine, tena safari hii dhidi ya mahasimu wao wa kutoka jiji moja la London.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni