Jumapili, 25 Septemba 2016

NDIYO, KAZI NZURI INALIPA, MUONE MESUT OZIL AKIWA NA MCHUMA WAKE

Hakuna ubishi kuwa kiungo mshambuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil anaijua kazi yake. Ozil, Mjerumani mwenye asili ya Uturuki, anaendesha magari mbalimbali, mojawapo analomiliki ni Mercedes Benz SUV. Ukiachana na gari, anavaa kwa staili ya aina yake. Hii inaonyesha anavyoweza kusherekea mafanikio aliyonayo. Kazi ni jambo muhimu, vema kuifanya kwa ubunifu zaidi, kwa juhudi na ufanisi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni