Jumatano, 21 Septemba 2016

Mahasimu wa Manchester - City na United watakutana katika raundi ya nne ya Kombe la Ligi- EFL Cup. Mechi kuchezwa wiki inayoanza Oktoba 25. Droo kamili ya mechi nyingine ni kama ifuatavyo: West Ham v Chelsea Manchester United v Manchester City Arsenal v Reading Liverpool v Tottenham Bristol City v Hull Leeds v Norwich Newcastle v Preston Southampton v Sunderland

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni