Ijumaa, 23 Septemba 2016

MAJANGA KWA BACA LIONEL MESSI KUIKOSA BARCELONA KWA WIKI TATU MFULULIZO...

Nahodha msaidizi wa Barcelona, Lionel Messi atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu. Hii ni baada ya kuumia nyonga katika mechi dhidi ya Atletico Madrid, juzi na ikaisha kwa sare ya bao 1-1. Messi alitoka nje mwanzoni mwa kipindi cha pili baada ya kuumia akiwa na mpira peke yake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni