pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Ijumaa, 23 Septemba 2016
Mapenzi ni MOYO hivyo ufanye MOYO wa mwenzio ukupende, Zawadi katika mapenzi huimarisha FURAHA ya mwenzio, Matembezi ya pamoja na mwenzi wako huleta AMANI hata ikapelekea mwenzio ajione ni wathamani kwako, Muonyeshe unampenda na pia ONYESHA FURAHA JUU YA UWEPO WAKE KWAKO....
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni