Hadi sasa, Manchester United ndiyo timu iliyokimbia umbali mdogo zaidi katika Ligi Kuu England. Umbali hupimwa kutokana na mchezaji mmojammoja amekimbia kiasi gani. REMIER LEAGUE DISTANCE TABLE Timu Umbali (km) 1 Liverpool 581.6 2 Manchester City 570.7 3 Tottenham 565.9 4 Burnley 563.9 5 West Brom 562.9 6 Arsenal 556.4 7 Middlesbrough 554.6 8 Bournemouth 549.4 9 Southampton 545.1 10 Leicester 544.8 11 Swansea 543.2 12 Everton 541.2 13 West Ham 539.5 14 Chelsea 539.4 15 Watford 539.1 16 Stoke 536.4 17 Hull 536.3 18 Crystal Palace 533.9 19 Sunderland 526.7 20 Manchester United
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni