Jumatatu, 22 Agosti 2016

MAHUSIANO: Mpenzi wangu amenikataza kuwasiliana na marafiki zangu wote wa kiume. Je, hii ni haki? - Amefikia mpaka hatua ya ku'block' namba zote zenye majina ya kiume kwenye simu yangu Una maoni gani juu ya tabia hizi kwenye mahusiano?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni