pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatatu, 22 Agosti 2016
Kwenye jamii inadaiwa kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi imepelekea woga mkubwa kwa baadhi ya wanaume. - Baadhi ya mambo husaidia kuboresha kulifurahia tendo la ndoa zaidi na kwa muda zaidi, mfano kufanya mazoezi, umakini unapokuwa kwenye tendo(Concetration), vyakula vyenye kuongeza nguvu mwilini n.k Je, unaamini siku hizi wanaume wengi wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume?
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni