pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatano, 24 Agosti 2016
AARON RAMSEY AJA NA STAILI MPYA YA NYWELE
Baada ya kuanza kwa kupaka rangui nywele zake wiki za hivi karibuni, kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey ameendelea kuonyesha staili tofauti ya mitindo ya nywele, sasa ameamua kuzichonga katika staili ya kipekee.
Ramsay ambeye alianza kuonyesha madoido ya nywele alipokuwa akiitumikia timu ya taifa ya Wales katika Euro 2016 ameweka picha za muonekano wake mpya kupitia ukurasa wake wa Instagram akionekana amechonga pembeni huku baadhi ya sehemu akiwa amepunguza nywele.
hivi ndivyo muonekao wake ulivyo kwa sasa:
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni