pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumamosi, 14 Januari 2017
WABUKINABE WAKOMAA NA CAMEROON MECHI YA AFCON, WAMALIZA NA SARE YA 1-1 Burkina Faso imeikomalia Cameroon na kufanikiwa kupata safe ya bao 1-1 katika mechi yao ya kwanza ya Afcon mjini Libreville nchini Gabon, leo. Mechi hiyo ilionekana kama ya Cameroon ambao walifanikiwa kupata bao katika dakika ya 35 mfungaji akiwa ni Benjamin Moukandjo na likadumu hadi mapumziko. Lakini Issoufou Dayo aliwasawazishia Waburkinabe hao katika dakika ya 75 na kuufanya mchezo mgumu hadi dakika 90 zinamalizika. MSIMAMO Timu P GD Pts 1 Burkina Faso 1 0 1 2 Cameroon 1 0 1 3 Gabon 1 0 1 4 Guinea-Bissau 1 0 1
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni