Klabu ya Azam leo imemtangaza Mromania Aristica Mcioba kuwa kocha wao Mpya kwa mkataba wa miezi 6 huku kukiwa na chaguo la kuongeza mkataba mwishoni mwa msimu
Cioba amekuja kuchukua mikoba ya Mhispania Zeben Hernandez aliyetimuliwa klabuni hapo hivi karibuni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni