MTANZANIA ASHINDA MILIONI 140 MUMBAI MARATHON JANA Mwanariadha wa Tanznaia, Alphonce Felix Simbu akimaliza mbio za Standard Chartered Marathon Mumbai 2017 mjini Mumbai kwa kuongoza na kujishindia kitita cha dola za Kimarekani 67,000, zaidi ya Sh. Milioni 140 za Tanzania. Picha na Pramod Thakur wa HT PHOTO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni