RAMOS AJIFUNGA REAL MADRID YALALA 2-1 LA LIGA Sergio Ramos akipiga kichwa kujifunga katika harakati za kuokoa shuti la mpira wa adhabu zikiwa zimebaki dakika sita na kuipatia Sevilla bao la kusawazisha Real Madrid ikilala 2-1 katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan. Bao lingine la Sevilla lilifungwa na Stevan Jovetic dakika ya 90 na ushei, wakati la Real lilifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 6
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni