pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatatu, 9 Januari 2017
Sherehe za ugawaji wa Tuzo za FIFA "The Best FIFA Football Awards 2016 " zitafanyika leo Januari 9 huko mjini Zurich,Switzerland kuanzia Saa 2:30 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Tuzo ambazo zitatolewa leo na FIFA 1.Mchezaji Bora wa kiume (Wanaowania: Cristiano Ronaldo, Antoine Griezmann na Lionel Messi) 2. Mchezaji Bora wa kike (Wanaowania: Melanie Behringer, Carli Lloyd na Marta) 3.Kocha Bora wa kiume (Wanaowania : Claudio Ranieri, Fernando Santos na Zinedine Zidane) 4. Kocha Bora wa kike ( Wanaowania: Jill Ellis, Silvia Neid na Pia Sundhage) 5. Goli Bora la Mwaka (Wanaowania: Marlone, Daniuska Rodriguez na Mohd Faiz Subri) 6. Tuzo ya Fair Play 7.Tuzo ya mashabiki bora (Wanaowania: mashabiki wa ADO Den Haag , mashabiki wa Borussia Dortmund-Liverpool na Mashabiki wa Iceland ). #TheBestFIFAFootballAwards2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni