Jumanne, 17 Januari 2017

Kocha wa African Lyon atimkia Maldives Bernado Tavares na Joaquin Valinho walikaribishwa Maldives na tayari wameshasaini kandarasi ya kufundisha timu hiyo ya huko. Mompondazy tunamtakia kila la kheri.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni