Jumatano, 11 Januari 2017

SOUTHAMPTON YAING'OA LIVERPOOL NA KWENDA NUSU FAINALI Nathan Redmond akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Southampton bao pekee dakika ya 20 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa St Mary's, hivyo kuipeleka Nusu Fainali timu yake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni