Ijumaa, 13 Januari 2017

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kinajiandaa kuumana na Leicester City wikiendi. Chanzo kinatajwa kurushiana maneno na kocha wake Antonio Conte wakiwa mazoezini baada ya kugomea mpangilio wa mazoezi wa fitness coach. Taarifa nyingine zinaeleza Diego Costa anataka kuondoka kuelekea China ambapo amepata dili ya kulipwa paundi 570,000 kwa wiki na klabu ya Tianjin Quanjin. #DaudaTransferUpdates

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni