CONTE KOCHA BORA ENGLAND KWA MARA YA TATU MFULULIZO Kocha wa Chelsea, Mtaliano akiwa ameshika tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Desemba mwaka jana baada ya kukabidhiwa leo, hivyo kuwa kocha wa kwanza kutwaa mara tatu mfululizo tuzo hiyo baada ya kutwaa pia Oktoba na Novemba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni