Ijumaa, 13 Januari 2017

Las Palmas leo inakutana na FC Barcelona katika mchezo wa raundi ya kwanza ya La Liga. Katika mchezo huu Lionel Messi atacheza akihitaji kuiondoa Las Palmas katika timu 4 za La Liga ambazo hajawahi kuzifunga. Mechi itaanza saa 12 jioni kwa saa Tanzania na itaonekana live kupitia @azamtvtz Sport HD. Azam TV

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni