Ijumaa, 13 Januari 2017

#AFCON2017 - Ligi kuu ya Tanzania bara VPL ina uwakilishi wa wachezaji watatu katika michuano ya AFCON 2017. Kutoka Yanga, VPL imepata uwakilishi wa Vicent Bossou anayekipiga Togo. Msimbazi wao wametoa Mlinzi wa kati Murshid Juuko ambaye atavaa jezi ya Uganda Cranes. Mabingwa wa Mapinduzi Cup, Azam FC wao wametoa Mlinzi wa kati Bruce Kangwa anayeichezea Zimbabwe. (Michuano ya AFCON inaanza leo, na mechi zote 32 zitaonekana kupitia channel 116 ZBC2.)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni