Ijumaa, 13 Januari 2017

IBRAHIMOVIC MCHEZAJI BORA WA DESEMBA ENGLAND Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akifurahia na tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Desemba, mwaka jana England baada ya kukabidhiwa leo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni