pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatatu, 9 Januari 2017
Lipuli inaongoza msimamo wa Kundi A Ligi Daraja la Kwanza kwa tofauti ya pointi 5 huku kila timu imebakiza mechi 4. Tuikaribishe Lipuli Ligi Kuu au bado ni mapema?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni