Jumatano, 18 Januari 2017

Klabu ya Lyon imefikia makubaliano na Manchester United kumsajili winga wa klabu hiyo, Memphis Depay kwa kitita cha pauni milioni 15.7 #trasfers

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni