Alhamisi, 19 Januari 2017

DEPAY AWASILI UFARANSA KUJIUNGA NA LYON KWA PAUNI MILIONI 21 Memphis Depay akiwa na bosi wa usajili wa klabu ya Lyon, Florian Maurice (kulia) baada ya kuwasili nchini Ufaransa kwa ajili ya mipango ya kujiunga na klabu hiyo kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 21.6 kutoka Manchester United

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni