EVRA HUYU HAPA, KAAMUA KUONDOKA JUVENTUS NA KUREJEA KWAO UFARANSA Beki wa kushoto wa zamani wa Man United, Patrice Evra sasa amerejea kwao Ufaransa.
Evra amejiunga na Marseille ya kwao Ufaransa akitokea Juventus ya Italia.
Klabu hizo mbili zimekubaliana mkataba wa miezi 18 baada ya Evra kuwa amekaa Juventus kwa takribani miaka mitatu akitokea Man United.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni