#ManUtdVsLiverpool - Siku kadhaa baada ya kuifikia rekodi ya Bob Charlton ya kufunga magoli mengi katika historia ya Manchester United, Wayne Rooney wikiendi hii anahitaji goli moja ili kuandika ya kuwa Top Scorer wa United wa muda wote na pia anahitaji kufunga magoli mawili ili kuifikia rekodi ya Steven Gerrard ya kuwa mfungaji mwenye magoli mengi katika North West Derby.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni