Kuelekea ufunguzi wa msimu mpya wa Bundesliga, mabingwa watetezi Bayern watacheza dhidi ya Werder Bremen. Mpaka kufikia leo hii timu hizi zimekutana mara 34 mpaka sasa, katika mechi hizo kila timu imefunga wastani waagoli 3.5 kwa kila mechi. FC Bayern wanaongoza kwa kuwafunga Werder mara 21, sare zipo 6 na Werder nao wameshinda mara 7. Ijumaa hii huu utakuwa mchezo wa kwanza na utaonyeshwa live on Startimes kupitia channel #SportFocus
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni