Jumatano, 24 Agosti 2016

KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOITWA NA MKWASA KUWAVAA NIGERIA HIKI HAPA

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha wachezaji kikiwa na mabadiliko kadhaa ambacho atakiandaa maalumu kwa mchezo hidi ya Nigeria. Kikosi hicho kina wachezaji 20 ambao atasafiri nao kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo huo wa Septemba 3, 2016 lakini wachezaji wanatakiwa kuripoti kambini Agosti 28, mwaka huu na safari ya kwenda nchini Nigeria itakuwa Septemba mosi.   KIKOSI HICHO HIKI HAPA: Deogratius Munish ‘Dida’ Aishi Manula Mwinyi Haji Andrew Vincent ‘Dante’ Juma Mahadhi Kelvini Yondani David Mwantika Himid Mao John Bocco Farid Mussa Jamal Mnyate Ibrahim Ajib Shiza Kichuya Mzamiru Yassin Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ Jonas Mkude Mbwana Samatta Ibrahim Rajabu Shomari Kapombe Simon Msuva

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni