Jumanne, 2 Agosti 2016

Maelfu ya mashabiki wa klabu ya Shanghai Shenhua walikusanyika katika uwanja wa ndege wa pudong kumuaga kipenzi chao Demba BA ambaye jana alikua akiondoka China akielekea Qatar kuendelea na matibabu ya mguu wake uliovunjika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni