Alhamisi, 24 Novemba 2016

Wayne Rooney sasa ndiye mchezaji aliyeifungia Man United magoli mengi katika michuano ya Ulaya kuliko mchezaji mwingine yoyote. 1. Rooney - 39 2. Van Nistelrooy - 38 3. Giggs - 29

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni