Jumamosi, 26 Novemba 2016

NOMA SANA MABAO 9 MECHI MOJA ENGLAND, SWANSEA 5-4 CRYSTAL PALACE, ALAN PARDEW BADO KIDOGO ATIMULIWE Unaweza kusema mambo si mazuri kwa Kocha Alan Perdew baada ya Crystal Palace kuchapwa mabao 5-4 dhidi ya Swansea. Ilikuwa mechi tamu na mwisho imeisha kwa mabao 9 kupatikana katika mchezo mmoja huku kocha huyo akiingia kwenye mstari wa hatari. Swansea (4-3-3): Fabianski 6.5; Naughton 6, Fernandez 5, Amat 6, Taylor 5.5; Cork 6.5, Fulton 6.5, Fer 7; Barrow 7, Sigurdsson 8, Routledge 5.5 (Llorente 66, 7). Subs not used: Van der Hoorn, Dyer, Nordfeldt, Montero, Rangel, McBurnie. Booked: Cork, Naughton, Routledge Crystal Palace (4-4-2): Hennessey 5.5; Ward 6, Dann 6, Tomkins 7, Kelly 5.5 (Fryers 73, 6); Zaha 7.5, Cabaye 6, McArthur 6 (Sako 82), Puncheon 6.5; C Benteke 6, Wickham 6 (Townsend 52, 5.5). Subs not used: Speroni, Campbell, Ledley, Delaney. Booked: Townsend, Hennessey, Kelly, Puncheon Referee: Kevin Friend 6

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni