Jumatano, 23 Novemba 2016

"Sisi kama Simba hatutacheza mchezo wowote wa ligi dhidi ya Watani zetu wa jadi Yanga (Hatutapeleka timu uwanjani) endapo waamuzi hawatatoka nje ya nchi tena wenye uzoefu na mechi kubwa wanatambuliwa na FIFA . Tuko tayari kulipa gharama za kuwasafirisha waamuzi toka nje ya nchi waje wachezeshe mechi zetu na Yanga" Haji Manara - Afisa habari wa Simba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni