Jumatano, 23 Novemba 2016

Shabiki Harrison Chinedu akiendesha baiskeli umbali wa kilomita 103.6 katika mitaa ya Lagos Novemba 20, 2016 akiwa na mpira kichwani. Chinedu amewaka rekodi mpya ya Dunia ya Guinness kwa kuendesha baiskeli kwa umbali mrefu zaidi na mpira kichwani. Picha na AFP

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni