Kocha wa Man United ,Jose Mourinho leo amethibitisha mshambuliaji Zlatan Ibrahimivic ataongezewa mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu hiyo.
Msweden huyo,35, amejiunga na mashetani hao majira ya kiangazi mwaka huu ambapo alisaini dili la mwaka mmoja akipokea mshahara wa pauni 260,000 kwa wiki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni