Jumatatu, 28 Novemba 2016

SASA UHAKIKA COUTINHO NJE LIVERPOOL MWEZI MMOJA NA WIKI Kiungo nyota wa Liverpool hatafanyiwa upasuaji baada ya kuumia enka katika mechi iliyopita. Lakini kuna mechi zifuatazo ambazo hakuna mjadala lazima atazikosa kwa kuwa atakaa nje kwa wiki sita au mwezi mmoja na nusu. Leeds United (H) EFL Cup quarter final - November 29 Bournemouth (A) PL - December 4 West Ham (H) PL - December 11 Middlesbrough (A) PL - December 14 Everton (A) PL - December 19 Stoke (H) PL - December 27 Manchester City (H) PL - December 31 Sunderland (A) PL - January 2

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni