pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Alhamisi, 24 Novemba 2016
Eto’o matatani, kifungo cha miaka 10 jela kinamuhusu Baada ya jana kutoka kwa Neymar, leo mambo yamehamia kwa Samuel Eto’o. Superstar huyo wa Cameroon ambaye aipata kuvitumikia vilabu vya Real Madrid, Mallorca na Barcelona wakati akiwa nchini Hispania sasa huenda akatupwa jela kutokana na ukwepaji kodi. Imeripotiwa na El Pais kwamba, Eto’o mwenye miaka 35 sasa ambaye anakipiga kwenye klabu ya Antalyaspor, huenda akatupwa jela miaka 10 pamoja na faini ya euro milioni 14. Sakata hilo la ukwepaji kodi linalomkabili Eto’o linahusishwa na kipindi cha kati ya mwaka 2006 hadi 2009, wakati akiwa akiitumikia klabu ya Barcelona. El Pais limeripoti namna Eto’o alivyoudu kukwepa kodi yenye thamani ya zaidi ya euro milioni 3.5. Inasemekana Eto’o aliendesha kampuni mbili, moja ilikuwa Hispania Bulte 2002) na nyingine ilikuwa Hungary Hungary (Tradesport), zilizomwezesha kumiliki haki za matangazo kulipa kodi. Pia Eto’o anatuhumiwa kupokea mkwanja mrefu kutoka kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Puma bila kulipa kodi . Inaaminika Puma ilikuwa ikimlipa Eto’o kati ya euro milioni 1.5 hadi mil
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni