UINGEREZA: Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho kuna uwezekano wa kuadhibiwa tena na Chama cha Soka Uingereza (FA) baada ya kuondolewa katika benchi la ufundi siku ya Jumapili.
- Hii ilikuwa ni mara ya pili kwa Kocha huyo kuondolewa uwanjani na mwamuzi katika kipindi cha mwezi mmoja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni