Alhamisi, 24 Novemba 2016

Europa: Man U yashinda 4-0 Rooney ang'ara vilivyo Mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney amevunja rekodi kama ya magoli 39 barani Ulaya baada ya kuwashinda Feyenoord 4-0 katika mchezo wa ligi ya Europa. Ushindi huu umeiweka Man u katika nafasi ya pili na alama 9 kwenye kundi A ikiwa nyuma ya Fernabache kwa alama moja. Meneja wa Man U Jose Mourinho amesema kamwe milele Rooney atabaki kuwa Rooney. Msimamo wa kundi A Mchezo unaofuata Manchester United itamenyana na Zorya Luhansk huku ikihitaji alama moja pekee kusonga mbele Matokeo mengine Fenerbahçe 2-0 Zorya Luhansk Hapoel Be'er Sheva 3-2 Inter Milan Sparta Prague 1-0 Southampton Dundalk 0-1 AZ Alkmaar Zenit Saint Petersburg 2-0 Maccabi Tel-Aviv FK Qabala 1-3 Anderlecht FC Astana 2-1 Apoel Nicosia FK Krasnodar 1-1 FC Red Bull Salzburg FC Zürich 1-1 Villarreal FC Steaua București 2-1 Osmanlispor FC Slovan Liberec 3-0 FK Qarabag

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni