pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Ijumaa, 22 Julai 2016
NGOJA nikuchekeshe. Viongozi wa Simba wamekwenda kwenye kambi ya mazoezi ya timu mjini Morogoro, mazoezi yalipoisha tu wala hata hawakujiuliza, wakaomba begi la yule beki Mkongomani watangulie nalo Dar alikute Ubungo@mpondazy.blog.sport. com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni