Ijumaa, 29 Julai 2016

Klabu ya Azam fc leo imetangaza kumsajili winga Mghana Enock Atta Agyei kutokea Medeama FC kwa kandarasi ya miaka miwili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni