Liverpool wamethibitisha kumsajili beki wa kati kutoka estonia,Ragar klavan,30,kutoka klabu ya FC Augsburg.Klavan ambaye ameichezea timu yake ya taifa mara 112,anaaminiwa kugharimu pauni million 4.2 hukutaarifa zikisema amesaini mkataba wa miaka mitatu.Picha kutoka tovuti ya Liverpool FC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni