pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Ijumaa, 29 Julai 2016
Kiungo Bastian Schweingeiger, 31, ametangaza rasmi kustaafu kuchezea timu ya Taifa ya Ujerumani Kiungo huyo wa manchester United ameanza kuchezea timu hiyo nwaka 2004 na alikuwepo kwenye kikosi kichochokua Ubingwa wa Kombe la Dunia Brazil mwaka 2014..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni