Jumapili, 31 Julai 2016

Katika Mkutano mkuu wa wanachama wa Simba leo jijini Dsm, Rais waklabu ya Simba Evans Aveva akipitisha ajenda ya Mabadiliko ya mfumo katika kuongoza klabu ya Simba sasa kuandaa mfumo utakaoiwezesha klabu ya Simba kuongozwa kwa mfumo wa hisa. @simbasctanzania

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni