Jumamosi, 30 Julai 2016

Klabu ya Atletico Madrid ametangaza kumsajili mshambuliaji Kevin Gameiro kutoka klabu ya Sevilla kwa ada ya Pauni milioni 27. Gameiro, 29, amesaini kandarasi ya miaka minne kukitumikia kikosi hicho cha Diego Someone.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni