pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumamosi, 4 Februari 2017
WENGER AKIWA JUKWAANI AKISHUHUDIA ARSENAL IKIADHIBIWA BILA HURUMA NA WENYEJI WAKE CHELSEA Walinzi wa Uwanja wa Stamford Bridge walilazimika kuwazuia mashabiki kuendelea na zoezi na kupiga picha na Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ambaye alikuwa jukwaani.
Wenger alikuwa jukwaani akitumikia adhabu ya mechi tatu kutokuwa katika benchi wakati Chelsea ikiitwanga Arsenal 3-1
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni